Uongozi kipekee wa majimbo: Ni nini na mafaa yake na magumu yake ni gani ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Martin MUKONKOLE mwanamemba wa chama cha siasa RCDN na ni msimamizi wa upinzani ;rn-SUDI ALIMASI mshauri kunako uwaziri wa mambo ya ndani na ni msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakanirn-BYABUZE KABARUKA mwanamemba wa shirika la rahiya jimboni Kivu ya Kusini.