Mipango yenyi kuchukuliwa na serkali ya Kongo kwa kujenga inchi,kurudisha upya maadibisho juu ya maisha ya kila siku kwa wanafunzi na pia usomi upya wa Biblia, hayo ndio maoni huru yaliyochaguliwa na waalikwa wa leo mangaribi.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Saintré MUTOMBO mwanamemba wa shirika FOSYCO ;rn-Mario KONGOLO msimamizi wa makanisa ya kusisimua yaani Eglises du réveil katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya KongornMALEMBA SAKILA mwalimu mkuu kunako Universiti ya Lubumbashi na mkuu kiongozi wa faculti ya elimu za kijamii kunako tuu Universiti ile ya Lubumbashi Jimboni Katanga.