Bajeti ya pesa za serkali kwa mwaka wa 2008 huenda kweli kutatua shida zinazo wakumba rahiya- .Ginsi gani ya kulipa pesa zilizo kopeshwa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo kwa inchi za kigeni.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa wa upinzani, wa kundi kubwa lenyi kuwa mdarakani na wale wa shirika la rahiya wanafikiri pamoja juu ya maoni hayo.

Waalikwa.
Alain Mbaya- mwanabunge la taifa na pia ni mwanamemba wa chama cha siasa ADECO, msimamizi wa upinzani.
Jean Bosco Barihima- mwanabunge la taifa na ni pia mwanamemba wa chama cha siasa ARC, msimamizi wa AMP.
Saintre Mutombo, mwanamemba wa shirika la rahiya.