Ugawanyo mbaya wa pesa kutoka usaidizi wa Ushina, kazi ya mwanabunge la taifa wakati wamapumziko yake ya mubunge na pia kutoheshimu mipango ya udemokrasia katika bara la Afrika : hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na walikwa wa leo mangaribi.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Martin MUKONKOLE, mwanabunge la taifa wa kundi la wanabunge ODR na msimamizi wa upinzanirn-Gaston MUSEMENA, mwanabunge la taifa wa kundi la wanabunge PPRD na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn-Modeste BONIGABA, mwanamemba wa shirika la rahiya.