Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Waalikwa :rn-Martin MUKONKOLE, mwanabunge la taifa, na pia mwanamemba wa chama cha siasa RCDN na ni msimamizi wa upinzani ;rn-Joseph Edouard KABUMBA BENDERA, katibu mkuu kunako uwaziri unaousika na sheria na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madrakani ;rn-Christian BULAMBO, mkili yaani Avocat na ni mwanamemba wa shirika la rahiya