Amani inchini Kongo, hali mbaya ya kazi ya watumishi wa serkali, hali mbaya ya raiya wenye ku ishi katika vijiji vya Kongo yakidemocrasia ndiyo swali mbalimbali zilizo chaguliwa na waalikwa wetu wa mangaribi ya leo

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa : rn- Alain MBAYA, mwanabunge wa taifa wa muungano ya wanabunge wakipekee;rn- Emmanuel SHADARI, mwanabunge wa muungano ya wanabunge PPRD;rn-Naupess KIBISWA, mwanamemba wa miungano zaku teteya watumishi na piya mwakili wa shirika la raiya.