Namna gani muna chunguza kazi ya serkali ya bwana Antoine Gizenga , kisha ku timiza mwaka moja ya kazi ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :

- Alain MBAYA, mwanabunge wa taifa na piya rn mwanamemba wa muungano ya wanabunge rn wakipekee ;rn-Emmanuel SHADARI, mwanabunge wa taifa na piya rn mwanamemba wa muungano ya wanabunge PPRD ; rn-Naupess KIBISWA, kiongozi wa muungano wa shirika rn zaku teteya watumishi wa serkali na piya mwaakili wa rn shirika la raiya .