Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Waalikwa:
- Hubert MOLISO : Mwanabunge wa taifa na piya mwanamemba wa muungano wa rn wanambunge wa upinzani GPCD ama mu kifaransa : Groupe parlementaire des Chrétiens rn Démocratesrn- KYUNGU SILIMU: Anaye husika na upashaji wa habari katika offisi ya waziri wa michezo rn na vijana. Na ni piya mwakilishi wa pande lenye ku ongoza wakati huu.
- Mme Mike TSHIFUNTSHI : Mwanamemba wa Commité Olympique inchini Kongo na ni piya mwakilishi wa shirika la raiya.