Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Waalikwa wa leo mangaribi ni-
-Wildor Makonero , mwanabunge la taifa, ni pia mwanamemba wa chama cha siasa PPRD,
-Edmondus Kasereka Vutuku , mwanabunge la taifa ni pia mwanamemba wa chama cha siasa MSR, na mwanamemba wa komisheni ya uchumi na pesa ;
-Clément Mwela , mwanamemba wa shirika la rahiya, La Solidarité paysanne ,ni msimamizi wa shirika la rahiya.