Hali ya mishahara ya watumishi wa serkali inchini Kongo ya kidemokrasia, uongozi mubaya wa mtaa wa Uvira, faida gani wakongomani watapata kutokana na mapatano ya Ushina kuhusu mipango ya maendeleo .

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa ni:

-Wildor Makonero, mwanabunge la taifa na mwanamemba wa chama cha siasa PPRD ,rn- Kasereka Vukutu mwanabunge la taifa aliyechaguliwa Beni, mwanamemba waEcofin rn-Clément Mwela wa shirika la rahiya Solidarité paysanne, msimamizi wa shirika la rahiya.