Habari ya siku ya kwanza jihoni tarehe 09 /02/2026
- Kinshasa : Naibu katibu Mkuu wa umoja wa mataïfa, anaye husika na opereshe za Amani , Jean-Pierre La croix, ame kutana na Mkuu wa seneti ya Kongo Jean - Michel Sama Lukonde
- Bunia : ONG CRDH , inayo husikia Kuheshimu Haki za Kibinadamu, unatoa wito kwa jeshi la kongo , ku tarajia mashambulizi, yanayo weza kufanywa, na waasi wa ADF.
- Lubumbashi : Wachimba migodi kumi na moja ambao wali poteza maïsha katika maporomoko ya arzi yaliyo tokea katika machimbo ya Tulizembe wame zikwa siku ya kwanza hii.
- Kinshasa : Waziri wa madini wa Jamhuri ya ki democrasia ya Kongo, Louis Watum Kabamba , ana shiriki katika mkusanyiko mkubwa wa Mining Indaba mjini Cape town , injini Afrique du Sud
- Mbuji-Mayi : Bei ya mfuko wa kilo makumi tano ya saruji imepanda sana.
- Kisangani : Mkuu wa sekta ya Bakundu , chef Henri Masimango ana piga Kengele kuhusu kuboreshwa kwa maisha ya wenyeji wa Bafwasende.
- Lubumbashi : Watoto karibu elfu tatu na mia tano , wanaishi barabari , katika hali ngumu.
- Kindu : Mvua na upepo mkali iliopiga kituo cha kabambare kwa tarehe Saba ilio pita , mwezi huu wa pili ume leta tatizo nyingi kwa wakaaji , na uharibifu mkubwa wa binadamu, na nyenzo./sites/default/files/2026-02/100226-journalswahilimardimatin-00_web.mp3







