Timu ya mpira ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo inapambana na Ureno katika mechi ya kihistoria ya Kombe la Dunia 2026. Wakazi wengi wana matumaini kwamba Leopards wanaweza kufanya vizuri mbele ya Seleção.
Katika mkoa wa Lualaba, watoto wengi bado wanaendelea kufanya kazi katika migodi ya madini licha ya hatari zinazo wakabili. Shirika HERAPI linaongeza juhudi za kuwaondoa watoto hao na kuwa wezesha kurejea shuleni na katika maisha salama.
/sites/default/files/2026-06/170626-p-s-journal_swahili_matin-00.mp3






