Journal Matin

Habari za asubui, tarehe 23 juni, 2026

Mashindano ya mwisho ya masomo yaki segondari imeanzishwa siku ya kwanza ihi tareh 22 juni mwaka elfu mbili na sita pale Lubumbabshi naye Waziri wa Nchi anayehusika na elimu ya kitaifa na uraia mpya Raissa MALU.

Jimboni Ituri, visa viwili vilivyothibitishwa vya Ebola viliripotiwa katika kambi ya wahami ya Kigonze, hapo Bunia.

Kundi la kwanza la wajenzi wa taifa 600 waliwasili katika mji mkuu Kinshasa Jumapili tareh 21 Juni. Wakuluna hawa watahusika na kazi ya mazingira na usafi kwa mji mku wa Kinshasa.

/sites/default/files/2026-06/230626_-_jp_sw_-_mardi_matin_-_00_.mp3