New York, Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa inchini DRC amezungumzia katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya mauwaji yanayoendelea Kivu Kaskazini na Ituri wakati ambako haki za binadamu zinakuwa zikinyanyaswa pia .
Mji wa Goma ulisherehekea pia ushindi wa timu la Leopard mbele ya lile la Uze-be-kistan ambalo lilibambwa bao tatu kwa moja (3-1).
Na Katika tarifa hizi,tuta zungumzia pia ugonjwa wa kipindupindu huko Popokabaka,ambako kwa sasa watu 10 ndio wamekwisha kufariki na wengine wengi ni wagonjwa.
/sites/default/files/2026-06/2906026-journal_sw_de_ce_lundi_matin_-_00.mp3







