Habari za jioni

  • Beni :  Watu makumi tatu na tano wameuawa katika shambulio jipya la waasi wa ADF huko Mukondi tarafani Beni katika usiku wa kuamkia siku ya ine hii. Idadi hiyo imetolewa na jeshi.
  • Kinshasa : Mahakama ya Ukaguzi imerudi kazini siku ya ine hii tarehe tisa Machi katika Ikulu ya Wananchi. Ilikuwa mbele ya Rais wa Jamhuri, mawaziri na wengine.
  • Lubumbashi :  Siku moja kabla ya kumalizika kwa shughuli ya utambuzi na usajili wa wapigakura mjini Lubumbashi, watu wengi wanalalamika kwamba hawajapata kadi zao za wapigakura.

/sites/default/files/2023-03/090323_-p-s-_journalswahilisoir-00-web_0.mp3