Journal de Swahili de Jeudi soir 260226

Habari za siku ya inne mangaribi tarehe 260226

  • Kongamano la majimbo , linalo husu suala la ADF, ambalo lili malizika Siku ya tatu iliopita , Katika muji wa  Beni, mji mkuu wa muda wa Kivu Kaskazini, lilisababisha , mfululizo,  wa ahadi kali.
  • Katika wilaya ya Kisenso mjini Kinshasa, Kijana  mwenye umri wa miaka makumi tatu  alimuua mama yake , na aka mkula kipande .
  • Kiboko kime mu uwa  msichana mwenye umri wa miaka kumi na moja , katika kijiji cha Mwenyambulu, sekta ya Lueta , eneo la Luiza.
  • /sites/default/files/2026-02/260226-journalswahilijeudisoir-web.mp3