Habari za asubuhi siku ya tano,060326
- Vikwazo vilivyowekwa tarehe pili ya mwezi huu Wa tatu , na serikali ya Marekani, zidi ya jeshi la Rwanda, na makamanda wake wanne, wanaotuhumiwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 , linalohusika na ukatili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vinaendelea ku wa semesha watu.
- Katika eneo la Mwenga, haswa Kamituga, maporomoko ya ardhi , yaliyotokea Siku ya ine tarehe ine , mwezi tulimo , katika eneo la uchimbaji madini la Kalingi , yalisababisha vifo vya wachimbaji wadogo wawili.
- Balozi wa Ufaransa injini Congo Remi Maraichaux , alikaribisha utekelezaji wa mradi wa savanna na misitu iliyoharibiwa, katika jimbo la Tshopo.
- /sites/default/files/2026-03/060326-journalswahili-vendredimatin-web.mp3







