Journal de vendredi matin 062326

Habari za siku ya tano mangaribi 060326

  • Kundi la Kimataifa,  la Mawasiliano la Ukanda wa Maziwa Makuu,  lina onyesha wasiwasi  mkubwa kuhusu kuzorota kwa hali ya usalama,  mashariki mwa Kongo.
  • Mzozo , Kati Ya Marekani na Israel zidi ya Iran, tayari umeanza kuwa na matokeo mabaya  kwa wahamiaji,  kati ya Kinshasa na Dubai. 
  • Jimboni Kivu Kaskazini, vyama vya wanawake huko Beni, vinatoa wito kwa Uingereza , kuji husisha zaidi , katika mageuzi ,ya sekta ya usalama na mapambano zidi ya ADF injini KONGO .
  • /sites/default/files/2026-03/060326-journalswahili-web.mp3