Journal du Mardi Matin 240226

Habari za siku ya pili tarehe 240226

  • Jukwaa la majimbo linalohusu suala la waasi wa ADF, limefunguliwa , asubuhi ya Siku ya kwanza hiii mjini  Beni, mji mkuu wa muda, wa Kivu Kaskazini.
  • Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi CENI kwa kifupi , imefunga muda wa maombi , ya nafasi za ugavana, na makamu wa gavana wa jimbo la Sankuru, tangu saa ine asubuhi , Siku ya kwanza hiii ,  katika Ofisi ya Mapokezi , na Mchakato wa Wagombea (BRTC) huko Lusambo.
  • Gavana wa Benki Kuu ya Kongo BCC ,  alitia saini mkataba wa kimkakati, na DRC Gold Mining SA, Siku ya tano iliopita, tarehe makumi mbili ,mwezi wa pili ,  mjini Kinshasa, ili kuimarisha hifadhi ya dhahabu ya KONGO.
  • /sites/default/files/2026-02/2402026-journalswahilimardimatin-web.mp3