Habari za siku ya pili asubuhi tarehe 17/10/2023
- Mahakama kuu yani Cour de cassation ilianza shughuli zake siku ya kwanza hii kwa mwaka wa elfu mbili makumi mbili na tatu na mwaka elfu mbili makumi mbili na inne .
- Habari kuhusu kesi ya Salomon Idi Kalonda, mshauri maalum wa Moïse Katumbi, daktari wake anathibitisha kuzorota kwa hali yake ya afya.
- Katika jimbo la Mai-Ndombe, hali ya usalama inaanza kuimarika katika eneo la Kwamouth, ambalo lilikumbwa na ukosefu wa usalama unaosababishwa na wanamgambo wa Mobondo, kufuatia mzozo wa jamii za Teke-Yaka kwa zaidi ya mwaka mmoja.
- Waziri wa Kilimo wa inchin la Kongo anawahimiza wafanyakazi katika sekta yake nchini kongo kuiga hali ya kilimo kama inavyofanyika katika shamba la kilimo na ufugaji la kibinafsi la MKM, Mike Kasenga Mulenga katika mtaa wa Maluku.
- Jimboni Ituri, karibu makao mia moja ya wakimbizi wa eneo la Nyamusasi yalisombwa na upepo mkali ulioambatana na mvua siku ya sita katika usulutani wa Bahema Banywagi mtaani Djugu.
- Katika mtaa wa Beni jimboni ./sites/default/files/2023-10/171023-p-s-kinjournalswahilimatingraceamzati-00_web.mp3