Habari z'asubuhi 9 Januari, 2025
- Lubumbashi: UNPC inalaani mauaji ya mwanahabari Patrick Numbi
- Goma: Waliojeruhiwa kwa Vita kutibiwa na timu za MSF huko Masisi na Minova huko Kivu Kusini
- Goma: Hali ya kijeshi huko Masisi pa Ngungu na Sake
- Kinshasa: Kushuka kwa bei ya Samaki maarufu mpiodi pa Kinshasa
- Mbuji mayi: Kampuni ya GREC 6 yasitisha kazi ya ukarabati wa barabara ya Mbujimayi
- Kinshasa: Ufuatiliaji wa kazi ya ukarabati kwenye Barabara ya Chuo Kikuu cha Kinshasa
- Bukavu: Maandamano ya kupinga uchimbaji haramu wa madini na msaada kwa FARDC
- Bandundu: Madiwani wa manispaa ya Inongo wako kwenye shida./sites/default/files/2025-01/090125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3