Habari z'asubuhi 23 Januari, 2025
- Kinshasa : Hotuba ya Rais wa Kongo Felix Tshisekedi katika kongamano la kiuchumi la dunia mjini Davos, Uswizi
- Lubumbashi: Uhaba wa mafuta ya gari umeonekana katika vituo vya huduma
- Mbuji mayi: Ongezeko la bei ya lita moja ya petroli huko Tshumbe, Lodja
- Bandundu: Mawakala na watumishi wa umma wa Jimbo la Kasongo Lunda wanadai mishahara ya miezi tano
- Goma: Ripoti ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Kibinadamu kuhusu hali ya kibinadamu
- Beni: Wakimbizi wa vita elfu mia mbili katika sehemu ya kaskazini ya mkoa wa Kivu Kaskazini
- Kananga: Mkataba wa amani uliotiwa saini na jumuiya mbili
- Kinshasa: Ukosefu wa usalama katika Kata CPA/MUSHI, wakazi wanazungumizia wasiwasi wao./sites/default/files/2025-01/230125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3






