Journal Matin

Habari z'asubuhi 28 Januari, 2025

  • Kinshasa:  Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaomba waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda  kuweka silaha zao chini. Kauli hii ilitolewa jana siku ya kwanza baada ya mkutano wa dharura kuhusu hali nchini Kongo.
  • Kinshasa : Wiki mbili kabla ya kufunguliwa kwa kesi ya Kongo na Rwanda mbele ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu huko Arusha inchini Tanzania,  serikali ya Kongo inajiandaa kama vilivyo.  
  • Mbuji Mayi : Shirika la Maendeleo la Ubelgiji ENABEL lilizindua mradi mpya wa Kupunguza Uzalishaji wa hewa mbaya kutokana na Ukataji miti na Uharibifu wa Ardhi Siku ya tano iliyopita ambao utatekelezwa katika majimbo ya Kasai Oriental na Lomami./sites/default/files/2025-01/280125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3