Journal Matin

Habari z'asubuhi 12 Februari, 2025

  • Kinshasa : Chama tawala cha UDPS/TSHISEKEDI kinakataa mpango wa CENCO-ECC unaolenga kuandaa mazungumzo ya kitaifa kutatua mzozo ambao nchi inapitia
  • Bunia : Watu karibu makumi tano na mbili walikufa, wengine wengi kujeruhiwa na nyumba kuchomwa moto usiku wa kuamkia hii siku ya pili  katika shambulio jipya la wanamgambo wa CODECO katika maeneo ya Laudjo, Lindu na Lodja katika tabaka Djaiba huko Ituri
  • Kalemie : Serikali ya jimbo la Tanganyika imeimarisha udhibiti katika bandari ya Kalemie kufuatana na hali ya usalama inayoendelea katika majimbo jirani ya Kivu Kaskazini na Kusini/sites/default/files/2025-02/120225-p-sw-journalswahilimatin-00-web.mp3