Habari z'asubuhi 18 Februari, 2025
- Bunia : Jeshi la Kongo linaita raia kuwa watulivu na kufanya shughuli zao kwa uhuru. Ni baada ya kutumwa wanajeshi wa Uganda huko Boga katika sehemu ya kusini ya tarafa la Irumu huko Ituri
- Bukavu : Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imetoa msaada kwa waliojeruhiwa na silaha wakati wa kutekwa kwa mji wa Bukavu na waasi wa M23 wakiungwa mkono na jeshi la Rwanda
- Mbuji Mayi: Huko Kasai Oriental, wafanyakazi wa Tume ya Kitaifa ya Kuzuia Barabara, CNPR Mbuji Mayi wanadai mishahara yao ya karibu miaka tisa./sites/default/files/2025-02/180225-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3








