Journal Matin

Habari z'asubuhi 17 Aprili, 2025

  • Kinshasa : Kitengo cha dharura ya mafuriko mjini Kinshasa na majimbo mengine ya Kongo kimewekwa ili kutathmini kiwango cha hali na kuchukua hatua za haraka. Kikao kilifanyika kwa ajili hiyo siku ya pili mjini Kinshasa chini ya uongozi wa rais wa Jamuhuri
  • Kinshasa : Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama, Jacquemin Shabani alizindua rasmi jana siku ya tatu kazi ya ujenzi wa vituo vidogo vidogo vya Polisi wa Kitaifa wa Kongo, mpango wa serikali unaolenga kuhakikisha usalama wa wakazi wa Kongo kupitia mageuzi ya polisi wa kitaifa
  • Beni : Ubelgiji inathibitisha uungaji mkono wake kwa Kongo kuhusu hali ya usalama inayoendelea mashariki mwa inchi. Balozi wa Ubelgiji nchini Kongo alisema hayo huko Beni siku ya pili ambako alipokelewa na liwali wa jimbo./sites/default/files/2025-04/170425-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3