Habari z'asubuhi 23 Aprili, 2025
- Kinshasa : Ajali ya meli iliripotiwa hii siku ya pili asubuhi kwenye mto Kongo. Kulingana na Onatra, haikuwa upande wa Kongo bali upande wa Brazzaville
- Kinshasa: Kuna Mzozo kati ya Bunge la Kitaifa la Kongo na Mahakama ya Kikatiba kuhusu kufikishwa mahakamani kwa mbunge Matata Ponyo katika kesi ya shamba la serikali la Bukanga-Lonzo. Bunge linaomba Mahakama kufata utaratibu rasmi
- Lubumbashi : Jimbomni Haut Katanga, watu wanaodaiwa kuwa wezi wa nyaya za umeme za SNEL walikamatwa usiku wa jumapili katika tarafa la Kambove na vyombo vya usalama. /sites/default/files/2025-04/230425-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3