Journal Matin

Habari za jioni 10 Juni, 2025

  • Lubumbashi : Kongamano la kumi na mbili la Maliwali linaendelea huko Kolwezi, jimboni Lualaba. Limefunguliwa na Rais wa Jamhuri.Washiriki watachambua mambo mengi yakiwemo maendeleo endelevu katika majimbo
  • Kinshasa : Mjini Kinshasa, mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Mahakama ya Cassation aliomba hii siku ya kwanza kibali cha kumshtaki Waziri wa Sheria Constant Mutamba kwa tuhuma za ubadirifu wa fedha za umma
  • Bunia : Jimboni Ituri, Shirika lisilo la kiserikali la Maendeleo ya Jamii na Ulinzi wa Mazingira (ADSSE) lilikabidhi miudombinu kadhaa ikiwemo majengo ya shule mwishoni mwa juma kwa jumuiya za wakazi wanaoondoka MBALA, BEMBEY, na TELEGA, nje kidogo ya Bunia./sites/default/files/2025-06/100625-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3