Journal Matin

Habari z'asubuhi 27 Juni, 2025

  • Beni :  Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zinatarajiwa kutia saini mkataba wa amani unaosimamiwa na Marekani mjini Washington hii siku ya tano tarehe makumi mbili na saba Juni mwaka tunao
  • Lubumbashi : Huko Haut Katanga, watoto wenye umri wa miezi mitatu hadi makumi tano na tisa watapewa chanjo dhidi ya maleria hivi karibuni. Tangazo hilo lilitolewa Siku ya tatu na wajumbe kutoka Wizara ya Afya wanaotembelea mji wa Lubumbashi
  • Beni : Jimboni Kivu Kaskazini, Kituo cha Kimataifa cha Haki za Binadamu na Mafunzo ya Maendeleo (CIFDH), kinashutumu kulipizwa kwa ada za kuwatembelea wafungwa katika gereza la Kakwangura mjini Butembo./sites/default/files/2025-06/270625-p-s-journalswahilimatin-00-web_0.mp3