journal matin

Habari zetu za Alhamisi tarehe 4 september 2025. 

 

  • Rais wa zamani Joseph Kabila ameshutumu vikali utekelezwaji wa sheria, mateso ya kisiasa, na vitisho kwa masikilizano ya kitaifa.    Naye naibu Waziri Mkuu wa Mambo ya Ndani haku chelewa kujibu matamshi ya raisi wa zamani Joseph Kabila. "Huwezi kudai mazungumzo kwa kuchukua silaha, na kusababisha maelfu ya vifo, alivyosema.
  • Nyumba kumi na mbili zilibebwa na maji na uharibifu mkubwa wa nyenzo ulisababishwa na mvua kubwa iliyonyesha mjini Beni jana usiku. Kiongozi wa osfisi ulinzi wa raia anatoa wito kwa wakaaji kuwa waangalifu na kuchukua hatuwa wakati huu wa mvua.
  • Wilayani Masisi haki za ulinzi wa watoto zinaminywa katika eneo la madini la Rubaya. Kutokana na hali mbaya ya familia, kufuatia migogoro ya silaha, watoto wengi hujikuta wakiajiriwa katika kazi nzito na hatari ya uchimbaji katika migodi ya ufundi.

/sites/default/files/2025-09/04092025-journalswahilimatin-00web.mp3