journal matin

Habari zetu za Jumatano tarehe 24 september 2025.

  • Rais Félix Tshisekedi alizungumza jana, Jumanne, kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York. Katika hotuba yake, alisikitishwa na kuzorota kwa hali ya usalama na kibinadamu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Félix Tshisekedi alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kumaliza mgogoro huu, unaoathiri mamilioni ya raia.

 

  • Mjini kinsahsa Zaidi ya nyumba 150 za bati za maafisa wa polisi katika kwenye Camp Kabila ndani ya wilaya ya Lemba ziliteketea kwa moto .Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama aliotembelea kambi hiyo, na uchunguzi unaendelea.

 

  • Pale Mbujimayi wanawake 60 wenye ugonjwa wa fistula wamefanyiwa upasuaji mkoani Moba. Hii ni kiisha kampeni ya bure iliyoandaliwa katika Hospitali Kuu ya Kirungu katika eneo la afya la Moba na Shirika la ARTEMEDIS. Operesheni kwa wagonjwa ilifanyika katika hali ngumu sababu yakukosa fivaa.

/sites/default/files/2025-09/24092025-journalswahilimatin-00web.mp3