journal matin

Habari za Halhamisi  tarehe 6 november 2025.

  • Kinshasa : message du VPM de l’Intérieur aux gouverneurs et membres des bureaux des assemblées provinciales.
  • -Kinshasa: Waziri wa Afya atangaza uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya surua katika mikoa/S kadhaa
  • -Bukavu: Milipuko katika Kivu Kusini
  • -Mbuji-Mayi: Kuzuka upya kwa Surua katika baadhi ya maeneo ya afya
  • -Lubumbashi: Bonde la asidi katika kampuni ya uchimbaji madini ya CDN limeporomoka, hatari ya uchafuzi wa mazingira
  • -Kinshasa: Mkutano na waandishi wa habari wa Balozi wa Umoja wa Ulaya katika eneo la Maziwa Makuu
  • -Goma: Mtu mashuhuri kutoka eneo la Rutshuru aomba uingiliaji kati wa dharura wa kibinadamu
  • -Bukavu: Kufungwa kwa kudumu kwa eneo la uchimbaji madini la Lomer
  • -Kinshasa: Vipi kuhusu kucheleweshwa kwa mapitio ya bajeti katika Bunge la Kitaifa

2er partie.

Mwaliwa : Bukavu : Hospitali kuu inaendesha kampeni ya kutunza wagonjwa wenye kuuguwa ugonjwa wa hydrocephalis, bila kuaacha kovu kwenye mwili. Magonjwa inayo sababishwa na mkusanyiko wa maji ndani ya ubongo bila sababu na kupelekea kuongezeka kwa kichwa.  Mda wa siku tano za kampeni hospitali iliwapokeya wagonjwa 37 wengi wao wakiwa ni watoto.

Ripoti : Beni : kuhorozwa kwa Watoto katika makundi yenye silaha kunaendeleya kuonekana katika majimbo ya kivu ya kaskazini, kusi na Ituri licha ya uwito kwakuachiliya tabiya hii.

 

/sites/default/files/2025-11/06112025-p-s-journalswahilimatin-00ok_web.mp3