Journal matin

Wakati Mlipuko wa Ebola waamasisha juhudi nyingi, karibuni milioni 12 ya watu waathiriwa na janga la kibinadamu inchini DRC. Umoja wa Mataifa, waomba dharura hizi mbili zishughulikiwe kwa jumla.

Tume Huru la Uchaguzi inchini, yakumbusha mara tena kwamba kadi ya ziada ya mpiga kura yagabiziwa bure bila malipo. Katika taarifa kwa vyombo vya habari, iyi Jumatatu, CENI yadokeza uzuni kuona raia wazidi kunyanyaswa pesa zao ili kupewa kadi hizo...

Ma miya ya wanawake kutoka nchi 17 za Afrika, wakubaliana kwa mbinu nyipya za kuboresha mchango wa wanawake katika uongozi. Hawa wali huzuria mjini Kinshasa kwa siku nne ya mkutano wa Kimataifa wa Viongozi wa Wanawake. 

/sites/default/files/2026-10/13102026-journal-sw-matin-00.mp3