Jimboni Ituri, kituo cha afya cha rufaa cha Ania katika mtaa wa Aru kimefungwa tangu juma iliyo pita. Sababu ni kwamba, visa vya Ebola vya Ebola vimeonekana tena ndani ya kituo hicho, huku waganga wamoja wakiambukizwa pia.
Tutakua na habari za Siasa: ni bamoja na maoni ya Seneta Salomon Kalonda Della, anaye wataka wenzake kukataa mpango wa sheria inayo husu kufanyika kwa kura ya maoni nchini DRC.
Jimboni Sud Ubangi, vijiji kadhaa vinakabiliwa na mafuriko makubwa kufuatia kupanda kwa kiwango cha maji katika Mto Ubangi. Wakaaji wengi walio poteza nyumba zao wanaomba msaada wa haraka toka kwa Serkali.
/sites/default/files/2026-10/27102026_-_journal_swahili_-_matin.mp3





