Journal Soir

Edition du vendredi 9 fevrier 

  • Goma: Hali kwenye eneo za mapigano
  • Kinshasa: Kibaruwa cha balozi ya Ubeljiji kuusu vita mashariki mwa Kongo
  • Bandundu: wanamgambo wa Mobondo wameweka vizuwizihuko Popokabaka na wana nyanyasa raiya.
  • Goma: Kuzorotwa kwa hali ya kijamii na ya kiuchumi ndani ya eneo la Vitshumbi katika tarafa la Rutchuru
  • Bunia: hali ya kiutu ina baki kuwa katika tarafa la Mahagi kuwa sababu ya kuvamiwa kwa maeneo za wakaaji na vikundi vya wanamgambo
  • Goma: kiongozi makamu wa jela kuu la Muzenze huko Goma ana towa taazari kuusu kuweko kwa magonjwa ya kukoowa ndani ya jela
  • Bukavu: watu wa tano wali fariki kwa kukosa pumzi ndani ya shimu la chimbiya zaabu Kamituga
  • Kinshasa: mwisho wa kazi ndani ya kamisheni, ya kukubali mamlaka ya wanabunge.
  • Kalemi washauri kwenye mitaa wana onyesha sikitiko kuusu kutokushimikwa kwao./sites/default/files/2024-02/_journal_swahili_vendredi_soir_web.mp3