Journal Soir

Habari za jioni 9 Januari, 2025

  • Kinshasa: Ripoti ya muda ya Kundi la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu DRC
  • Goma: Hali ya kijeshi huko Masisi pa Ngungu na Sake
  • Beni: Shambulizi jipya la FARDC dhidi ya M23 huko Timbo Timbo
  • Goma: Hali ngumu ya usalama wa kibinadamu kwa wakazi
  • Bunia: Mambasa, mashirika ya kiraia yametangaza siku tatu za mji bila kazi kudai kurejeshwa kwa amani
  • Matadi: Kesi za uhalifu zilimerekodiwa Muand
  • Kinshasa: Orodha mpya ya bei za usafiri wa umma katika jiji la Kinshasa
  • Kinshasa: Matokeo ya Kiwanda cha Kukamata Maji cha Binza Ozone
  • Kinshasa: Tamko la Tume ya Uadilifu na Upatanishi wa Uchaguzi kuhusu mageuzi ya katiba./sites/default/files/2025-01/090125-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3