Habari za jioni 23 Januari, 2025
- Goma: Uasi wa M23 katika jiji la Sake, hali ya Goma
- Goma: Uasi wa M23 huko Sake, ushuhuda wa mkazi mmoja
- Goma: Watu wapya waliokimbia makazi yao wakiwasili katika jiji la Goma
- Bukavu: Kuwasili Kalehe kwa watu kadhaa waliohamishwa kukimbia vita ya uasi wa M23
- Goma: Suala la kimkakati katika kiini cha mapigano kati ya FARDC na M23 huko Sake
- Kinshasa: Maoni ya MONUSCO kuhusu hali ya sasa ya usalama karibu na Goma
- Kinshasa: Mwito kutoka kwa Julien Paluku kwa wakazi wa Goma na maeneo jirani.
- Lubumbashi: Wasilisho la wale waliodaiwa kumuua mwanahabari Patrick Adonis Numbi
- Kinshasa: Selembao, milio ya risasi ilisikika usiku./sites/default/files/2025-01/230125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3