Journal Soir

Habari za jioni 22 Aprili, 2025

  • Kinshasa : Ajali ya meli iliripotiwa hii siku ya pili asubuhi tarehe makumi mbili na mbili Aprili kwenye mto Kongo. Kulingana na Onatra, haikuwa upande wa Kongo bali upande wa Brazzaville
  • Kinshasa: Kuna mzozo kati ya Bunge la Kitaifa la Kongo na Mahakama ya Kikatiba kuhusu kufikishwa mahakamani kwa mbunge Matata Ponyo katika kesi ya shamba la serikali la Bukanga-Lonzo. Bunge linaomba Mahakama kufata utaratibu rasmi
  • Lubumbashi : Jimbomni Haut Katanga, watu wanaodaiwa kuwa wezi wa nyaya za umeme za SNEL walikamatwa usiku wa jumapili katika tarafa la Kambove na vyombo vya usalama. /sites/default/files/2025-04/220425-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3