Journal Soir

Habari za jioni 26 Mei, 2025

  • Goma:  Kuwasili kwa Rais wa zamani Joseph kabila mjini Goma kunaendelea kuthibitishwa zaidi na zaidi hasa na vyanzo vya waasi wanaothibiti mji huo. Kwa upande wake, Joseph Kabila hajasema chochote kuhusu suala hilo
  • Mbuji Mayi: Visa sita  vya ugonjwa wa kifua kikuu viligunduliwa katika gereza kuu la Mbuji Mayi baada ya vipimo kuandaliwa kwa wafungwa na serikali ya mkoa  mwanzoni mwa mwezi huu tunao
  • Kinshasa: Mjini Kinshasa, serikali kuu inatangaza kwamba imetoa fedha zote muhimu kwa ajili ya ukarabati wa barabara za Kinshasa. Waziri wa Fedha amekagua kazi za barabara na miundombinu mingine katika mji mkuu mwishoni mwa wiki hii./sites/default/files/2025-05/260525-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3