Journal Soir

Habari za jioni 02 Juni,  2025

  • Kinshasa : Mpinzani Martin Fayulu anapendekeza mazungumzo na kuongezeka kwa heshima na uwajibikaji ili kutatua suala la ukosefu wa usalama mashariki mwa Kongo. Alisema hayo katika hotuba yake hii siku ya kwanza mjini Kinshasa
  • Kinshasa : Mitihani ya serikali ya wanafunzi wa mwaka wa sita wa sekondari awamu ya makumi tano na tisa, kikao cha mwaka huu tunao, ilizinduliwa hii Siku ya kwanza kote inchini Kongo. Tunaizungumzia katika idhaa hii
  • Bunia : Huko Ituri, watu wanane waliuawa katika shambulio la watu wenye silaha huko Nizi, eneo lililo  karibu kilomita makumi tatu kutoka Bunia katika tarafa la Djugu./sites/default/files/2025-06/020625-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3