Habari zetu leo siku ya tatu 17 julay 2025
- .Mjini kinshasa kulifunguliwa hii jumatano kwa Tamasha la Ulimwengu la Muziki na Utalii. Mkuu wa Nchi Félix Tshisekedi aliyekuepo alielezea matumaini yake kwamba tamasha hii litachangia katika kuimarisha umoja wa kitaifa na kurejesha sura ya DRC.
- Wizara ya Afya jimboni pale kisangani yazindua kampeni ya chanjo ya kipindupindu. Shughuli hii inafanyika katika maeneo matatu ya afya yaliyoathiriwa zaidi na janga hili.
- Pale Ituri mapambano yaliripotiwa Jumanne jioni kati ya FARDC na kundi lenye silaha la Zaire linaloshirikiana na wanamgambo wa Thomas Lubanga wa (CRP) kati ya Iga-Barriere na Lopa na kuelekea Risasi.
/sites/default/files/2025-07/16072025-_journal_swahili_soir_-00-web.mp3