Habari zetu za Ijumaa Ogusi tarehe 28.
- Wanawake wanne walipoteza maisha katika ajali ya meli usiku wa Jumatano hadi Alhamisi, Agosti 28, kwenye Ziwa Ntomba, katika eneo la Bikoro, kilomita 128 kutoka mji wa Mbandaka katika jimbo la Equateur.
- "Mtihani wa taifa ni zaidi ya mtihani wa shule, ila ni alama ya umoja wetu, unaotuunganisha sisi kwa sisi, kutoka Mashariki hadi Magharibi, kutoka Kaskazini hadi Kusini. Ujumbe huu niwake Waziri wa Elimu ya Kitaifa jana, Alhamisi, kwa waliofika fainali, wazazi, walimu, na eneo za Kivu Kaskazini na Kusini.
- Pale Ituri Gavana wa mkoa alitangaza kusimamisha shughuli za uchimbaji madini katika jimbo zima. Mamlaka ya mkoa inahakikisha hatua hii kurejesha utulivu katika sekta yamadini, na kuruhusu rasilimali kufaidisha taifa la Kongo na si makundi yenye silaha.
- /sites/default/files/2025-08/290826-pf-journalswahilisoir-00web.mp3





