journal soir

Habari zetu za Jumatatu september 15.

  • Bunge la taifa larejeya Jumatatu hii, Septemba 15 shuruli zake kiisha mda wa mapumziko. Presidenti wa Bunge alisema kuwa kikao hiki, kitakachohusu uchunguzi wa Sheria ya Fedha ya 2026, kitaweka kipaumbele kwa ulinzi wa taifa. Vile vile Jean Michel Sama Lukonde presidenti wa Seneti, pia alizungumzia mzozo wa usalama unaotikisa nchi.

 

  •  Ituri, chini ya shule kumi za msingi na sekondari ndiyo ndiyo zinendesha shuruli mwaka huu juu ya zile mia moja ndani ya usultani wa Walese-Vonkutu. Huko shule nyingi nizenye kufungwa karibu miaka mitano kutokana na mashambulizi ya ADF.

 

  • Eneo la Afya la Manono Pale Tanganyika linahamasisha kampeni ya chanjo ya kuzuia homa ya manjano. Dk Patrice Sango, Mganga Mkuu wa Afya pale Manono atafasiriya kuhusu ugonjwa huo katika tarifa hii.

/sites/default/files/2025-09/15092025-journalswahilisoir-00web.mp3