journal soir

Habari zetu za Jumatano tarehe 17 septemba 

  • Mjini Kinshasa Kikao cha mashauriano kinafanyika Jumatano hii ili kuunda kamati maalum ya muda kuchunguza malalamiko haya, ambayo yanamlenga zaidi Spika wa Bunge la chini, Vital Kamerhe.
  • Pale Bulape, eneo la Mweka katika jimbo la Kasai. Wagonjwa wa wawili wa kwanza kupata ugonjwa wa Ebola walionekana kuponywa kikamilifu waliondoka Hospitali Jumanne, na kurejea nyumbani baada ya matibabu ya siku chache. Vile vile shuruli za kugawanya chanjo zidi ya ebola zaendeleya.
  • Mjini Goma, wakaazi wa kata Lac Vert wanasema kuishi kwa uchungu kutokana na kuongezeka kwa usalama mdogo. Watu  wenye silaha za moto huingia na kuiba katika makazi ya wakaaji. Hali hii ndiyo inaleta woga na hasira kwa wakaaji ambao wanawapigwa watu wanao shakiwa kuwa bandiya.

/sites/default/files/2025-09/17092025-journalswahilisoir-00web.mp3