Habari zetu za Jumatatu tarehe 3 november 2025.
- Kinshasa: EU yaimarisha hatua zake za kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kutumia Euro milioni 9
- Bukavu: Unyanyasaji wa Wazalendo huko Shabunda/
- Kananga: Warsha ya wachunguzi kuhusu mateso huko Kamuina Nsapu
- Kinshasa: Pambana na saratani ya tezi dume
- Kindu: Madaktari na wauguzi wanashikilia sit-in/
- Kinshasa: Watu mashuhuri kutoka Kongo ya Kati watoa wasiwasi kuhusu usimamizi mbovu katika jimbo/S
- Mbuji-Mayi: Uzinduzi wa kazi ya uboreshaji wa barabara katika jimbo la Lomami
- Beni: Matatizo ya trafiki yazingatiwa kwenye barabara ya Beni-Butembo kutokana na hali mbaya ya barabara/
Sehemu ya pili.
- Invite : Haut-Lomami: Mashirika ya kiraia yashutumu hali ya jela Kamina. Gereza ambalo hapo awali lilikuwa bohari ya SNCC, lililogeuzwa kuwa gereza lenye uwezo wa kubeba watu 50, sasa linahifadhi zaidi ya 300.
- Dossier Kivu Kaskazini: Wanaume 50 wanaoishi Bweremana huko Masisi walipokea vifaa vya kuanzia vya kuwaingizia kipato.
/sites/default/files/2025-11/03112025_-_journalswahilisoir-00web_0.mp3






