journal soir

  • Habari zetu za Jumatat tarehe 10 november 2025.
  • -Lubumbashi: Watu 11 wamefariki katika ajali ya barabarani leo asubuhi
  • -Mbuji-Mayi: Ukarabati na uboreshaji wa barabara inayounganisha wilaya ya Diulu na Bipemba
  • -Matadi: Operesheni ya kutambua wakazi wa ardhi ya umma katika Matadi
  • -Kinshasa: Zaidi ya watu 170,000 wapya waliohamishwa makazi yao wamesajiliwa katika jimbo la Kwango
  • -Masisi: Tulia Ngululu baada ya mapigano makali jana, Jumapili
  • -Shirika lisilo la kiserikali la Young Man Action For Education linashutumu kutotekelezwa kwa waraka kutoka kwa Waziri wa Elimu ya Kitaifa
  • -Bunia: Usajili wa watoto katika sajili ya kiraia katika eneo la Djugu
  • -Kisangani: Malalamiko ya wafanyakazi wa usimamizi wa BCC

/sites/default/files/2025-11/10112025-journalswahiliisoir_-00web_0.mp3