Journal soir

habari za lelo siku ya tatu , masiku 110226

  • BUNIA ;Katika jimbo la Ituri, mwaka mmoja baada ya mauaji ya watu karibu makumi tano na tano , katika eneo la wakimbizi la Djaiba huko Djugu, jamaa za walio fariki , zinashutumu ukweli kwamba wauaji Hawa , bado, hawaja azibiwa.
  • KINSHASA :Mining Indaba ya Mwaka huu , Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili andaa mkutano wake wa chakula cha mchana , ama "DRC BREAKFAST" siku ya yaku ta pili iliopita . 
  • KANANGA:Baraza la Vijana la Mkoa wa Kasai-Central limeunda hazina ya ndani , ili kusaidia mipango inayoongozwa na mashirika yasiyo ya faida yanayoongozwa na vijana.
  • /sites/default/files/2026-02/110226-p-s-journalswahilisoir_web_.mp3