- Bunia: Ujumbe wa pamoja imehasili katika kambi ya wakimbizi ya Plaine Savo mtaani Djugu kuandaa urejeaji wa hiari wa wakimbizi katika vijiji vyao.
- Kananga: Mvua yasababisha uharibifu mkubwa katika mji huo.
- Na huko Kindu: Wanafunzi 29 wa Chuo Kikuu cha Mapon wafukuzwa kutokana na vitendo vikubwa vya rushwa.
/sites/default/files/2026-10/09_10_2026_journal_swahili_vendredi_soir_.mp3








