Muungano wa wa upinzani wa C64 ulikua na mkutano wa siku mbili mjini Rome, nchini Italia. Baada ya mkutano huo, muungano huu una mtaka Rais Félix Tshisekedi kuheshimu katiba. Ili kukomesha mzozo inchini, viongozi wa wa upinzani wana panga kukutana na rais Felix Tshisekedi pia rais wa zamani Joseph Kabila.
Jenerali Eddy Kapend, Kamanda wa Kanda ya 22 ya Kijeshi, anawaomba wanajeshi wa Congo na polici kuwa makini kutokana na hali ya usalama inayoleta wasiwasi. Alisema haya siku ya kwanza katika kambi ya kijeshi ya Major Vangu, mjini Lubumbashi.
Na wakati huu wa mwanzo wa mwaka mpya wa masomo katika vyuo vikuu, wanafunzi wengi wanajikuta wamechanganywa kwa kuchagua yale watakayo soma chuon. Shida, ni kwamba wakakua na ugumu wa kupatanisha ndoto zao binafsi, pendekezo za familia zao pamoja mafunzo yanayo weza saidia kupata kazi.
/sites/default/files/2026-10/27102026_-_journal_swahili_soir_-_00.mp3







