Habari za asubuhi siku ya tano, tarehe 200226
- Naibu Waziri Mkuu wa Mambo ya Ndani Jacquemain Shabani , alifanya mkutano muhimu Siku ya tatu hii , na amri kuu ya Polisi ya Kitaifa ya Kongo, Ndio kusema , Kamisha Jenerali, na manaibu wake watatu, ili ku zungmuzia mambo yote muhimu, yanayo husiana na opereshen za polisi, changamoto na mageuzi.
- Naibu Mwakilishi wa Ofisi ya Pamoja ya Haki za Kibinadamu , ya Umoja wa Mataifa , injini Congo , alitembelea wakimbizi siku ya tatu iliopota katika ma eneo ya Kasenyi na Tchomia, yaliyoko , zaidi ya kilomita makumi tano , kutoka Bunia.
- Mangaribi mwa Siku ya tatu hiii iliopita , katika mtaa wa Ndesha, mji wa Kananga, mwanamke mjamzito alifariki baada ya nyumba kuporomoka kwenye korongo.
- /sites/default/files/2026-02/20022026-p-s-journalswahili-vendredimatin-web.mp3



